

Lugha Nyingine
Rekodi mpya za uchumi zilizowekwa na China 2024 (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2025
Viwanda vya untengenezaji bidhaa vimeongezeka na kufikia zaidi ya milioni 6 kwa mara ya kwanza, uundaji wa magari yanayotumia nishati mpya yamefikia milioni 10 kwa mwaka ...... Katika mwaka 2024, China imepata maendeleo mapya katika sekta muhimu za uchumi, teknolojia, na utamaduni. Maendeleo hayo mapya yanatokana na maendeleo endelevu ya sifa bora ya uchumi wa China, na pia ni uzoefu uliofanywa vilivyo katika ujenzi wa mambo ya kisasa ya China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma