Ukaguzi wa usalama wa treni za mwendokasi wakaribisha safari za msimu wa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2025
Ukaguzi wa usalama wa treni za mwendokasi wakaribisha safari za msimu wa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China
Mafundi wakifanya ukaguzi wa usalama wa treni ya mwendokasi ya Fuxing ya EMU katika karakana ya EMU ya Shirika la Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Xi’an, mjini Xi’an, Shaanxi, Januari 7, 2025. (Picha kutoka vip.people.com.cn)

Katika siku za karibuni, mafundi wa treni za Mifumo Mbalimbali ya Umme (EMUs) wa karakana ya EMU ya Xi’an ya Shirika la Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Xi’an wamekuwa wakifanya ukaguzi wa usalama wa treni za mwendokasi za EMUs na kikamilifu kujiandaa kwa ajili ya usafiri na usafirishaji katika msimu wa sikukuu ijayo ya mwaka mpya wa jadi wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha