Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho laanza Tianjin (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 10, 2025
Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho laanza Tianjin
Wahudhuriaji wakizungumza kwenye ufunguzi wa Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho uliofanyika Tianjin, kaskazini mwa China, Januari 9, 2025. (Xinhua/Li Ran)

Likiwa na kaulimbiu ya "Kuwezesha mustakabali endelevu wa siku za baadaye kwa nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora," Jukwaa la 20 la China la Ushirikiano wa Kimataifa wa uchumi wa Maonesho limeanza rasmi huko Tianjin, kaskazini mwa China jana Alhamisi, likivutia washiriki zaidi ya 600 kutoka nchi na maeneo 20.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha