Mji wa Shanghai, China wawa kivutio cha “kutembelewa wikiendi” na watalii wa Jamhuri ya Korea (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 13, 2025
Mji wa Shanghai, China wawa kivutio cha “kutembelewa wikiendi” na watalii wa Jamhuri ya Korea
Watalii wa Jamhuri ya Korea wakitembelea Xintiandi, Shanghai. (Picha na Tang Yanjun/ Chinanews)

Tangu China ipanue sera ya msamaha wa visa kwa raia wa Jamhuri ya Korea, Wakorea wengi zaidi na zaidi wamekuwa wakichukua “kuruka” kwa ndege kwenda Shanghai wikiendi. Kwa mujibu wa takwimu za Forodha ya Shanghai, idadi ya watalii wa Jamhuri ya Korea wanaoingia nchini China imekuwa ikiongezeka kwa kiasi kikubwa hivi karibuni. Desemba 2024, watalii wa Korea zaidi ya 130,000 waliingia na kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pudong, Shanghai.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha