Wafanyakazi wa reli wafanya juhudi kubwa za kujiandaa kwa pilika za usafiri wa watu wengi zaidi wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2025
Wafanyakazi wa reli wafanya juhudi kubwa za kujiandaa kwa pilika za usafiri wa watu wengi zaidi wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Wafanyakazi wakifungasha chakula katika kituo cha kufua nguo na kutoa huduma za vyakula chini ya Shirika la Kundi la Kampuni za Reli la China Tawi la Taiyuan, Januari 9, 2025. (Xinhua/Zhan Yan)

Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ni mwanzo wa mwaka mpya wa China kwa kalenda ya kilimo ya China, umaalumu wake ni watu watarudi nyumbani kwao kujumuika pamoja na familia zao, ndiyo maana usafiri wa abiria kwenye njia za reli utaongezeka zaidi.

Ili kuhakikisha abiria wanaweza kufanya usafiri salama, urahisi na bila matatizo wakati wa pilika za wasafiri wengi wakati wa sikukuu hiyo, idadi kubwa ya wafanyakazi wa reli wa China wanafanya juhudi zao zote kujiandaa kwa kipindi hiki chenye pilika nyingi cha mwaka. Pilika hizo za wasafiri wengi kwa ajili ya mwaka mpya wa jadi zimeanza leo Januari 14 . 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha