Michezo ya 32 ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Duniani ya Majira ya Baridi yafunguliwa Turin, Italia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2025
Michezo ya 32 ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Duniani ya Majira ya Baridi yafunguliwa Turin, Italia
Ujumbe wa wanamichezo wanafunzi wa vyuo vikuu vya China ukiingia ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi, Januari 13. (Picha na Li Jing/Xinhua)

Jana Jumatatu, Januari 13, hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 32 ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Duniani ya Majira ya Baridi imefanyika Turin, Italia.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha