

Lugha Nyingine
Daraja Kuu la Bonde la Huajiang Kusini Magharibi mwa China lawa Tayari Kukamilika (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
ZHENFENG – Hadi kufikia sasa, sehemu 93 za daraja kuu la Bonde la Huajiang kwenye barabara kuu ya Liuzhi-Anlong katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China zimeunganishwa, na daraja hilo linakaribia kumaliza kufungwa kikamilifu.
Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu mlalo wa mita 2,890 ulianza mwaka 2022. Likiwa na urefu sanifiwa wa wima wa mita 625 kati ya msingi wa daraja na Mto Beipanjiang kwa chini, daraja hilo litakuwa na urefu zaidi duniani kwenda juu baada ya kukamilika kwake mwaka 2025.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma