

Lugha Nyingine
Pilika pilika ya usafiri wa watu wengi kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaanza nchini China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
![]() |
Wasafiri wakitembea katika Stesheni ya Reli ya Beijing Magharibi mjini Beijing, Januari 14, 2025. (Xinhua/Xu Hongyan) |
Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, ambayo ni sikukuu kubwa zaidi ya jadi ya China, itaangukia Januari 29 mwaka huu. Kilele cha usafiri wa watu wengi au tuseme "chunyun" kwa lugha ya Kichina, maana yake ni Usafiri wa Watu Wengi wa Spring, ni usafiri wa mwaka wa idadi kubwa zaidi ya watu duniani.
"Chunyun" unajulikana kwa mahitaji yake makubwa ya usafiri ambapo mamilioni ya watu wakirejea nyumbani kwa ajili ya kujumuika pamoja na familia.
"Chunyun" wa mwaka huu umeanza nchini China jana Jumanne.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma