

Lugha Nyingine
Mahitaji ya dim sum na vitafunio yaongezeka nchini Indonesia kabla ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2025
![]() |
Wafanyakazi wakitengeneza dim sum katika karakana huko Tangerang Kusini, Mkoa wa Banten, Indonesia, Januari 14, 2025. (Picha na Agung Kuncahya B./ Xinhua) |
Mahitaji ya dim sum na vitafunio yameongezeka katika maeneo mengi ya Indonesia huku Mwaka Mpya wa Jadi wa China ukikaribia. Kampuni na karakana za utengenezaji wa vyakula zikiongeza utoaji ili kukidhi mahitaji ya soko.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma