

Lugha Nyingine
Mashindano ya kwanza ya Uchongaji wa Sanamu za Barafu la Heilongjiang yaanza mjini Harbin, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2025
Mashindano ya kwanza Uchongaji wa Sanamu za Barafu ya Heilongjiang yameanza jana Jumatano katika Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, yakivutia magwiji zaidi ya 50 kutoka timu 18 kushiriki kwenye mashindano hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma