Mandhari ya Ziwa Sayram katika Mkoa wa Xinjiang, nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2025
Mandhari ya Ziwa Sayram katika Mkoa wa Xinjiang, nchini China
Watalii wakitembelea Ziwa Sayram katika Eneo linalojiendesha la Kabila la Wamongolia la Bortala, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini Magharibi mwa China, Januari 14, 2025.

 (Picha na Du Juanjuan/ Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha