

Lugha Nyingine
Gulio la kijadi mjini Qingdao lavutia watembeleaji wengi kabla ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2025
![]() |
Mtoto akipokea karatasi nyekundu la neno la Kichina “Fu”, maana yake ni “Heri na Baraka”, kwenye Gulio la Poli lililoko Eneo Jipya la Xihai’an la Mji wa Qingdao Januari 18, 2025. (Xinhua/Li Ziheng) |
Gulio la Poli limekuwa na historia ya miaka zaidi ya 300, gulio hili ni mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa huko, na pia ni moja ya magulio makubwa ya kijadi katika Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. Wakati huu ambapo Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inakaribia kuwadia, watu wengi wanamiminika kwenye gulio hilo kwa kununua mapambo tele ya mwaka mpya, mazao ya kilimo, vyakula vya kienyeji na kadhalika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma