Muonekano wa Kisiwa cha Weizhou katika Mkoa wa Guangxi, Kusini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2025
Muonekano wa Kisiwa cha Weizhou katika Mkoa wa Guangxi, Kusini mwa China
Picha hii iliyopigwa kwa droni Januari 18, 2025 ikionyesha muonekano wa Kisiwa cha Weizhou katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Jin Haoyuan)

Kisiwa cha Weizhou kiko katika Ghuba ya Beibu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, hiki ni kisiwa cha volkeno cha umri mdogo zaidi cha China. Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya mtaa katika mkoa huo imeimarisha ulinzi wa ikolojia ya baharini na kuendeleza miundombinu katika kisiwa hicho, ikikifanya kuwa sehemu yenye kivutio maarufu kwa watalii. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha