Reli ya Xinjiang yahakikisha usafirishaji wenye ufanisi bora wa makaa ya mawe kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2025
Reli ya Xinjiang yahakikisha usafirishaji wenye ufanisi bora wa makaa ya mawe kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Picha ya droni ikionyesha treni ya mizigo iliyopakiwa makaa ya mawe ikipita kwenye reli katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Januari 21, 2025. (Xinhua/Ding Lei)

Kwa kuongeza idadi ya treni za mizigo, kasi ya uendeshaji wa treni, na mzigo zaidi wa treni, reli ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang wa China imefanya kila juhudi ili kuhakikisha usafirishaji wenye ufanisi mkubwa wa makaa ya mawe kwa ajili ya Sikukuu inayowadia ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha