Mkoa wa Sichuan, China wavutia watalii na wapenda michezo ya theluji kwa rasilimali nyingi za barafu na theluji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2025
Mkoa wa Sichuan, China wavutia watalii na wapenda michezo ya theluji kwa rasilimali nyingi za barafu na theluji
Picha ikionyesha watu wakiteleza kwenye theluji kwenye eneo la mapumziko ya theluji la Mlima Xiling katika Wilaya ya Dayi, Chengdu, Mkoani Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Januari 14, 2025. (Xinhua/Liu Kun)

Kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Utamaduni na Utalii ya Mkoa wa Sichuan nchini China, mkoa huo una maeneo karibu 50 ya utalii wa theluji na barafu na vituo muhimu 16 vya mapumziko ya michezo ya kuteleza kwenye theluji vyenye aina mbalimbali za vifaa vya kuchezea kwenye theluji, sehemu za kuteleza kwenye theluji za viwango tofauti na hata vituo vya ndani ya sehemu ya mapumziko ya michezo ya theluji na barafu ya ndani na majumba ya michezo ya kuteleza kwenye theluji, vikivutia watalii na wapenda michezo ya theluji wengi kila msimu wa theluji. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha