Lugha Nyingine
Roboti za muundo wa binadamu za mfululizo wa "Chucai" zaonyeshwa Wuhan, China (3)
 (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2025
		![]()  | 
| Mshiriki wa mkutano akitaza roboti ya muundo wa binadamu mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Februari 5, 2025. (Xinhua/Xiao Yijiu) | 
Roboti kumi za muundo wa binadamu za mfululizo wa "Chucai" zimeonyeshwa kwenye mkutano unaofanyika mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China zikionyesha uwezo mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
	Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
	people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




