Maonyesho ya wanyama vipenzi wa kuishi nyumbani na binadamu yafunguliwa Hongkong, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2025
Maonyesho ya wanyama vipenzi wa kuishi nyumbani na binadamu yafunguliwa Hongkong, China
Watembeleaji wakimpiga picha kwa simu mbwa wa kuishi nyumbani na binadamu kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho cha Hong Kong, China, Februari 6.

Maonyesho ya Wanyama Vipenzi wa Kuishi Nyumbani na Binadamu ya Hongkong Mwaka 2025 yamefunguliwa kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho cha Hong Kong jana Alhamisi, Februari 6 katika Mkoa wa Hong Kong wa China. Maonyesho hayo ya mwaka huu yatakayofanyika kwa siku nne, yamevutia waonyeshaji wanyama hao vipenzi zaidi ya 400 na kuweka vibanda zaidi ya 1000, yakiwa ni makubwa zaidi katika historia.

(Xinhua/Chen Duo)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha