Maonesho ya kwanza ya mchezo wa ngoma unaotokana na ngano za watu wa kabila la Wali yafanyika Haikou, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 10, 2025
Maonesho ya kwanza ya mchezo wa ngoma unaotokana na ngano za watu wa kabila la Wali yafanyika Haikou, China
Mwigizaji akicheza ngoma kwenye maonesho ya mchezo wa ngoma mjini Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Februari 8, 2025. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

Mchezo wa ngoma unaotokana na ngano za watu wa kabila la Wali na kuhusisha mambo tajiri ya kitamaduni ya kabila hilo, umeoneshwa kwa mara ya kwanza mjini Haikou, Mkoa Hainan, Kusini mwa China siku ya Jumamosi. Mchezo huo unasimulia hadithi ya binti na mwindaji kijana wote wa kabila hilo la Wali wakitafuta mapenzi na uhuru chini ya hali ya kukandamizwa na kufanyiwa ukatili. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha