Sherehe ya mwaka ya "kuiweka Picha ya Buddha kwenye Nuru" yafanyika katika Hekalu la Labrang mkoani Gansu, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2025
Sherehe ya mwaka ya
Watawa wakiwa wamebeba picha kubwa ya Thangka ya Buddha kwenye sherehe ya mwaka ya "kuiweka Picha ya Buddha kwenye Nuru" ya Hekalu la Labrang katika Wilaya ya Xiahe, Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Februari 10, 2025. (Xinhua/Zhang Rui))

Waumini na watalii kutoka ndani na nje ya China wameshiriki kwenye sherehe kubwa ya Dini ya Kibuddha ya Kitibet inayojulikana kama sherehe ya "kuiweka Picha ya Buddha kwenye Nuru", ambayo ilifanyika jana Jumatatu kwenye Hekalu la Labrang, Mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China.

Shughuli hiyo ya mwaka ni moja ya sherehe muhimu zaidi katika Hekalu la Labrang, lililojengwa mwaka 1709, moja ya mahekalu sita makubwa ya Madhehebu ya Gelug ya Dini ya Kibuddha ya Kitibet.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha