Mandhari ya Theluji ya Milima Helan Mkoani Ningxia, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2025
Mandhari ya Theluji ya Milima Helan Mkoani Ningxia, China
Picha iliyopigwa Februari 9, 2025 ikionesha Milima Helan iliyofunikwa na theluji ikionekana kutoka bustani ya burudani mbalimbali mjini Yinchuan, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China. (Xinhua/Feng Kaihua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha