

Lugha Nyingine
Michezo ya Sanaa ya Kijadi yaleta hali ya shamrashamra Mkoani Hubei, katikati mwa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 12, 2025
WUHAN –Lichuan Dengge, ilianzia katika Mji wa Lichuan wa Mkoa wa Hubei, China, ni michezo ya sanaa ya kijadi yenye mvuto mkubwa ambayo watu wa huko wanafanya maonesho ya michezo hiyo wakati wa sherehe za sikukuu wakitumia vifaa vya kupendeza vya rangi mbalimbali kama vile mashua za dragoni na mikokoteni ya taa za jadi.
Watu wanapofanya maonesho ya michezo hiyo ya sanaa wanaimba nyimbo huku wakichangamana, hali ambayo imeonesha mali ya urithi wa utamaduni wa watu wa kabila la Watujia.
Mwaka 2011, Lichuan Dengge iliorodheshwa kwenye kundi la tatu la mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma