Kiwanda cha Kwanza cha Roboti za muundo wa binadamu mjini Shanghai chaanza uzalishaji kwa wingi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2025
Kiwanda cha Kwanza cha Roboti za muundo wa binadamu mjini Shanghai chaanza uzalishaji kwa wingi
Wahandisi wakifundisha roboti za muundo wa binadamu kwenye kiwanda mjini Shanghai, China, Februari 18, 2025. (Picha na Tang Yanjun/Shirika la Habari la China)

Kiwanda cha kwanza cha roboti za muundo wa binadamu mjini Shanghai, China kimeanza uzalishaji wake kwa wingi siku ya Jumanne wiki hii.

Kampuni yenye kumiliki kiwanda hicho imetoa roboti za aina tano, zikihusisha nyanja mbalimbali kama vile mawasiliano, ubebaji wa vitu vizito, ukusanyaji takwimu, utafiti wa kisayansi na uendeshaji wa kiwanda.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha