

Lugha Nyingine
Mji wa Kiteknolojia Zhongguancun wa Beijing-Tianjin wasajili washiriki wa soko wa aina mbalimbali (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa Februari 24, 2025 ikionyesha Mji wa Kiteknolojia Zhongguancun wa Beijing-Tianjin ulioko Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Li Ran) |
Mji wa Kiteknolojia Zhongguancun wa Beijing-Tianjin unafanya kazi kama jukwaa muhimu la ushirikiano kwa miji ya Beijing na Tianjin ya China kutekeleza kwa pamoja mkakati wa nchi, ambao unajulikana kama "maendeleo ratibiwa ya eneo la Beijing-Tianjin-Hebei", ukiwa mradi wa kwanza wa viwanda vya mashine nzito nje ya Beijing uliowekezwa na Zhongguancun, chapa maarufu ya sekta ya teknolojia ya juu ya Beijing.
Katika mji huo wamesajili washiriki wa soko wa aina mbalimbali jumla ya 1,800, zikiwemo kampuni za teknolojia ya habari, viwanda vya kuunda teknolojia za hali ya juu na dawa za kiviumbe.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma