Mandhari na wanyama katika Hifadhai ya Taifa ya Nairobi, Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2025
Mandhari na wanyama katika Hifadhai ya Taifa ya Nairobi, Kenya
Kanga akionekana katika Hifadhi ya Taifa ya Nairobi, Kenya, Februari 23, 2025. (Xinhua/Li Yahui)

Hifadhi ya Taifa ya Nairobi iko kwenye umbali wa kilomita 7 kutoka upande wa kusini mwa katikati mwa Jiji la Nairobi, hfiadhi hiyo ni moja ya hifadhi chache za kitaifa zilizoko nje kidogo ya majiji makubwa. Hifadhi hiyo ni maskani ya spishi zaidi ya 100 za mamalia na spishi zaidi ya 500 za ndege zilizorekodiwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha