Mwonekano wa hali ya “Dunia ya Roboti ya Beijing”, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 26, 2025
Mwonekano wa hali ya “Dunia ya Roboti ya Beijing”, China
Roboti ya muundo wa binadamu kutoka kampuni ya UBTECH ikionyeshwa kwenye “Dunia ya Roboti ya Beijing” katika mji mkuu Beijing wa China, Februari 24, 2025. (Xinhua/Ju Huanzong)

“Dunia ya Roboti ya Beijing” iko kwenye eneo maalum la viwanda vya roboti katika eneo la Yizhuang la Mji Mkuu wa China, Beijing. Eneo hilo ni kituo cha maonyesho ya jumla ya roboti, kikionyesha mafanikio mapya katika shughuli za uundaji wa roboti. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha