

Lugha Nyingine
Treni ya mwendokasi ya mfano ya CR450 yafanyiwa majaribio mjini Beijing, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 26, 2025
![]() |
Mfanyakazi akifanya majaribio kwenye treni ya mwendokasi ya mfano ya CR450 mjini Beijing, mji mkuu wa China, Februari 25, 2025. (Xinhua/Li Xin) |
Treni ya mwendokasi ya mfano ya CR450, zenye kuendeshwa kwa kasi ya majaribio ya hadi kilomita 450 kwa saa na kasi ya kuendeshwa kawaida ya kilomita 400 kwa saa, zimeonyeshwa kwa mara ya kwanza mjini Beijing hivi karibuni, ikionyesha upigaji hatua wa China katika maendeleo ya teknolojia ya hali ya juu ya reli duniani.
Reli hiyo ya CR450 ina kasi zaidi kuliko treni za mwendokasi za Fuxing za CR400 zinazofanya kazi kwa sasa, ambazo zinaendeshwa kwa kasi ya kilomita 350 kwa saa. Kundi la Kampuni za Reli za China (Shirika la Reli la China) kwa sasa linapanga majaribio mbalimbali kwa treni hizo za mfano na kuboresha viashirio vya kiufundi ili kuhakikisha CR450 inaingia kwenye huduma ya kibiashara mapema iwezekanavyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma