Wajumbe wa Bunge la 14 la China wafanya vikao vya kujadili ripoti ya kazi ya serikali (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 06, 2025
Wajumbe wa Bunge la 14 la China wafanya vikao vya kujadili ripoti ya kazi ya serikali
Wang Gang, mjumbe anayehudhuria Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, akizungumza kwenye kikao cha Ujumbe wa Mkoa wa Yunnan mjini Beijing, Machi 5, 2025. (Xinhua/Liu Bin)

Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China jana Jumtano alasiri wamefanya vikao vya kujadili ripoti ya kazi ya serikali aliyotoa Waziri Mkuu wa China Li Qiang kwenye mkutano huo unaofanyika Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha