Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali za China kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
Wanafunzi wakiwapa maua walimu wao kwenye shule ya msingi mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Machi 6, 2025. (Picha na Zhao Jun/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zinafanyika katika sehemu mbalimbali nchini China kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi kila mwaka. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha