Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC chafanyika mjini Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 08, 2025
Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC chafanyika mjini Beijing
Wang Guosheng, mjumbe wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) akizungumza kwenye kikao cha pili cha wajumbe wote cha mkutano wa tatu wa kamati hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 7, 2025. (Xinhua/Zhou Dixiao)

Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) kimefanyika kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Ijumaa, Machi 7.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha