

Lugha Nyingine
Mawaziri wa China wahojiwa baada ya kikao cha 2 cha wajumbe wote cha mkutano wa 3 wa Bunge la 14 la China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2025
Mawaziri wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara wanazoziongoza jana Jumamosi, Machi 8, baada ya kikao cha pili cha wajumbe wote cha mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China unaondelea kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma