Wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wang'ara katika "mikutano mikuu miwili" ya China inayoendelea

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2025
Wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wang'ara katika
Mjumbe wa Bunge la 14 la Umma la China akihudhuria kikao cha kikundi cha wajumbe wa Mkoa wa Guizhou kwenye mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14 mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 6, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie)

Jana Jumamosi, Machi 8 ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani na katika mikutano mikuu miwili ya mwaka ya Bunge la Umma la China na ule wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wana jukumu muhimu katika kuunganisha hekima ili kuhimiza maendeleo ya nchi hiyo. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha