Mkutano na waandishi wa habari kuhusu maisha ya watu wafanyika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 10, 2025
Mkutano na waandishi wa habari kuhusu maisha ya watu wafanyika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la China
Waziri wa Mambo ya Kiraia wa China Lu Zhiyuan, Waziri wa Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii Wang Xiaoping, Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Miji-Vijiji Ni Hong, na mkuu wa Kamati ya Kitaifa ya Afya ya China Lei Haichao wakihudhuria mkutano na waandishi wa habari kuhusu masuala ya maisha ya watu katika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China mjini Beijing, Machi 9, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie)

Mawaziri wa China, Lu Zhiyuan wa Wizara ya Mambo ya Kiraia, Wang Xiaoping wa Wizara ya Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii, Ni Hong wa Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Miji-Vijiji, na Lei Haichao Mkuu wa Kamati ya Kitaifa ya Afya ya China wamehudhuria kwenye mkutano na waandishi wa habari jana Jumapili wakifafanua na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu maisha ya watu kwenye mkutano na waandishi wa habari katika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China unaondelea mjini Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha