Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14 (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 12, 2025
Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14
Sun Yeli, Waziri wa Utamaduni na Utalii wa China, akishiriki kwenye mahojiano baada ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Chen Yehua)

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha