

Lugha Nyingine
Ufugaji wa abalone baharini waanza Fujian, China wakati hali ya hewa inapokuwa ya joto
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 13, 2025
![]() |
Picha ikionesha muonekano wa eneo la uzalianaji na ufugaji abalone katika Wilaya ya Lianjiang, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Machi 12, 2025. (Xinhua/Lin Shanchuan) |
Wakati hali ya hewa inapokuwa ya joto zaidi, wavuvi katika Wilaya ya Lianjiang, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China wanaanza kufanya kazi ya ufugaji abolone na kuwapanda abalone wachanga baharini.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma