Maonyesho ya 5 ya Biashara ya Mtandaoni ya Kuvuka Mpaka ya China yafunguliwa mjini Fuzhou, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 19, 2025
Maonyesho ya 5 ya Biashara ya Mtandaoni ya Kuvuka Mpaka ya China yafunguliwa mjini Fuzhou, China
Watu wakiwasiliana kwenye Maonyesho ya 5 ya Biashara ya Mtandaoni ya Kuvuka Mpaka ya China mjini Fuzhou, Mkoani Fujian, kusini-mashariki mwa China, Machi 18, 2025. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Maonyesho ya 5 ya Biashara ya Mtandaoni ya Kuvuka Mpaka ya China yamefunguliwa mjini Fuzhou, Mkoani Fujian, kusini-mashariki mwa China jana Jumanne, yakivutia kampuni zaidi ya 1,800 za usambazaji bidhaa na huduma kutoka nchi na maeneo mbalimbali.

Maonyesho hayo ya mwaka huu yamefanyika wakati wa Mkutano wa Biashara ya Mtandaoni ya Kuvuka Mpaka wa China Mwaka 2025, ambao unajikita katika uboreshaji wa tasnia ya biashara ya mtandaoni ya kuvuka mpaka na kutafuta njia kwa kampuni za China kujitanua kimataifa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha