Jukwaa la Mawasiliano na Majadiliano la Wadau wa Mambo ya Fedha wa Nchi za Kusini Mwaka 2025 lafanyika Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 20, 2025
Jukwaa la Mawasiliano na Majadiliano la Wadau wa Mambo ya Fedha wa Nchi za Kusini Mwaka 2025 lafanyika Beijing
Jukwaa la Mawasiliano na Majadiliano ya Wadau wa Mambo ya Fedha wa Nchi za Kusini Mwaka 2025 lenye kaulimbiu ya "Ugunduzi wa Thamani: Uvumbuzi wa Kiteknolojia Wasukuma Mbele Maendeleo ya Sifa Bora ya Juu ya Masoko ya Mitaji" limefanyika kwenye Kituo cha Kitaifa cha Taarifa za Mambo ya Fedha mjini Beijing, Machi 19, 2025. (Xinhua/Li He)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha