Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China Mwaka 2025 lafunguliwa Beijing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2025
Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China Mwaka 2025 lafunguliwa Beijing
Picha iliyopigwa Machi 23, 2025 ikionyesha Kongamano juu ya Sera za Jumla na Ukuaji Uchumi la Jukwaa la Ngazi ya Juu la Maendeleo la China (CDF) Mwaka 2025 mjini Beijing. (Xinhua/Li Xin)

Jukwaa la Maendeleo la China Mwaka 2025 limepangwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia Tarehe 23 hadi 24, Machi, likiwa na kaulimbiu ya "Kufungua Nguvu ya Maendeleo kwa Ongezeko Tulivu la Uchumi Duniani".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha