

Lugha Nyingine
"Mzunguko wa maisha wa dakika 15" waongeza urahisi kwa wakazi wa Xiong'an, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 31, 2025
![]() |
Wakazi wakicheza biliadi kwenye nyumba ya kutunza wazee katika eneo la Rongxi la Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Machi 25, 2025. (Xinhua/Mu Yu) |
Tangu China ilipotangaza mipango ya kuanzisha Eneo Jipya la Xiong'an mwezi Aprili Mwaka 2017, eneo hilo limepitia hali mbalimbali kutoka ramani hadi kuwa mji wenye ustawi kwa maisha ya watu.
Vituo zaidi ya 200 vya huduma kwa jamii vimeshaanzishwa katika maeneo mapya yaliyojengwa ya Xiong'an, vikijenga "mzunguko wa maisha wa dakika 15" ambao unakidhi mahitaji ya kimsingi ya wakaazi kwa ununuzi na burudani za mapumziko.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma