

Lugha Nyingine
Kikosi cha Majini cha PLA chaadhimisha miaka 76 tangu kuanzishwa kwake
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2025
Kikosi cha Majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kimeadhimisha miaka 76 tangu kuanzishwa kwake jana Jumatano, kikisisitiza dhamira yake ya kuwa kikosi cha majini cha hadhi ya kimataifa chenye kujitolea kulinda usalama wa taifa na amani ya kimataifa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma