

Lugha Nyingine
Uvumbuzi wakutana na fursa kwenye Maonesho ya 3 ya Biashara Kuhusu Kubadilisha Mafanikio ya Uvumbuzi wa Teknolojia Kuwa Bidhaa Halisi ya China (Anhui) (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2025
Maonesho hayo yaliyoanza jana Jumamosi,Aprili 26 lenye eneo la mita za mraba 20,000, yamevutia makampuni zaidi ya 2,000 na vyuo vikuu karibu 200. Mabanda sita ya maonyesho hayo yanaonyesha mafanikio mapya kabisa ya kisayansi na kiteknolojia kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Shughuli kumi zikiwemo maonyesho ya mafanikio mapya na shughuli za kibiashara, pia zitafanyika ili kuhimiza miradi ya kisayansi na kiteknolojia iwe ya kibiashara. (Xinhua/Zhou Mu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma