Ujenzi wa njia inayounganisha stesheni za reli za Guangzhou, China waharakishwa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 29, 2025
Ujenzi wa njia inayounganisha stesheni za reli za Guangzhou, China waharakishwa
Picha iliyopigwa Aprili 28, 2025 ikionyesha eneo la ujenzi wa njia inayounganisha Stesheni ya Reli ya Guangzhou na Stesheni ya Reli ya Guangzhou Kusini mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong kusini mwa China. (Xinhua/Liu Dawei)

Ujenzi wa njia inayounganisha Stesheni ya Reli ya Guangzhou na Stesheni ya Reli ya Guangzhou Kusini umekuwa ukiharakishwa hivi karibuni. Njia hiyo kiunganishi itaboresha ufikiaji wa usafiri wa Mji wa Guangzhou katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China baada ya kukamilika kwake. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha