Mkutano wa 8 wa Kilele wa China ya Kidijitali wafanyika Fuzhou mkoani Fujian (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 29, 2025
Mkutano wa 8 wa Kilele wa China ya Kidijitali wafanyika Fuzhou mkoani Fujian
Picha iliyopigwa Aprili 28, 2025 ikionyesha roboti ya zima moto katika eneo la kujaribu na kujionea vifaa la Mkutano wa 8 wa Kilele wa China ya Kidijitali mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Mkutano wa 8 wa Kilele wa China ya Kidijitali umefungua eneo lake la kujaribu na kujionea vifaaa na teknolojia kwa watembeleaji wataalamu jana Jumatatu, ambapo taasisi zaidi ya 300 zimehudhuria kwenye mkutano huo zikionyesha mafanikio ya mageuzi ya kidijitali ya China katika ukuaji mkubwa wa sekta ya kidijitali. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha