

Lugha Nyingine
Watu watembelea Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025 katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Wafanyakazi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2025
![]() |
Watembeleaji wakitazama gari la Volvo kwenye Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Tasnia ya Magari ya Shanghai mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 1, 2025. (Xinhua/Fang Zhe) |
Watu wengi wametembelea Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Tasnia ya Magari ya Shanghai mjini Shanghai, mashariki mwa China katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo nchini China kwa mwaka huu, sikukuu hiyo inaambatana na mapumziko ya siku tano, ikiwapa fursa Wachina kutembelea maeneo mbalimbali ya vivutio na kufanya manunuzi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma