China yashuhudia shamrashamra na burudani nyingi wakati wa likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 04, 2025
China yashuhudia shamrashamra na burudani nyingi wakati wa likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
Watalii wakitazama onyesho la fashifashi za fataki katika Mji wa Jurong, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Mei 1, 2025. (Xueman/Xinhua)

Siku ya Wafanyakazi Duniani yaani Mei Mosi, kwa mwaka huu iliangukia Alhamisi wiki hii. Watu wa China hupumzika kwa siku tano kila ifikapo siku hiyo, yaani kuanzia Mei Mosi hadi kesho Jumatatu Mei 5.

Katika kipindi hicho cha mapumziko ya siku tano Wachina wamekuwa wakisafiri na kutembelea maeneo mbalimbali ya vivutio vya watalii, burudani na manunuzi ikiifanya China kujaa hali ya shamrashamra na burudani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha