Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025  yaanza Shanghai (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2025
Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025  yaanza Shanghai
Mtoto akijaribu baiskeli ya kijadi kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 5, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya siku nne ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yameanza rasmi jana Jumatatu kwenye Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Shanghai, mashariki mwa China yakivutia kampuni za viwanda takribani 1,600 kutoka ndani na nje ya China kushiriki.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha