

Lugha Nyingine
Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa makosa ya ufisadi
Mahakama ya rufani nchini Mauritania jumanne wiki hii imemhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo, Mohamed Ould Abdel Aziz, kifungo cha miaka 15 jela kutokana na ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka, na utakatishaji fedha.
Awali, Aziz ambaye alikuwa rais wa Mauritania kuanzia Agosti 5, 2009 hadi Agosti Mosi, 2019, alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela katika hukumu ya kwanza.
Mwanasheria wake, Mohameden Ould Ichidou amesema, mteja wake anadhamiria kukata rufaa Mahakama Kuu, akidai kuwa, hukumu hiyo ya kufungwa jela miaka 15 imegubikwa na kile alichokiita matumizi mabaya ya madaraka.
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yaanza Shanghai
Shaolin Kungfu, chombo muhimu cha mawasiliano ya Utamaduni wa China na ulimwengu wa nje
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma