

Lugha Nyingine
Siku ya Kimataifa ya Chai: ukaribu wa Xi Jinping na chai
Chai, ambayo chimbuko lake ni China, ni maarufu duniani kote. Kutoka kwenye Njia ya Kale ya Hariri, Njia ya Kale ya Farasi kusafirisha Chai na Njia ya Kale ya Boti za kusafirisha chai, hadi Ukanda wa Kiuchumi wa Njia ya Hariri na Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21, Chai inayovuka wakati na mahali, inapendwa na watu duniani kote.
Mei 21 ni maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Chai. “Maadili bora yanaendana na wakati.” Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), amekuwa akitumia chai kama njia ya kueleza falsafa za China, akileta “harufu nzuri ya chai ya China” kwa dunia.
Shughuli za kiutamaduni zafanyika kwenye Jukwaa la Russia na China mjini Khabarovsk, Russia
Miti ya jacaranda katika mchanuo wa maua yavutia watalii mjini Kunming, China
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma