

Lugha Nyingine
Rais Xi aondoka Astana baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati
Rais wa China Xi Jinping akiondoka kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati mjini Astana, Kazakhstan, Juni 18, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)
ASTANA - Rais wa China Xi Jinping ameondoka Astana jana Jumatano na kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati uliofanyika mjini Astana, Kazakhstan ambapo wakati wa kuondoka kwake, Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev na maofisa wengine waandamizi walimwaga kwenye uwanja wa ndege.
Ndege za kivita za Kikosi cha Anga cha Kazakhstan ziliisindikiza ndege maalum ya Rais Xi baada ya kupaa.
Akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege, wajumbe wa kampuni za China na wanafunzi wa China wanasoma nchini humo walijipanga barabarani, wakipeperusha bendera za taifa za China na Kazakhstan kumpongeza Rais Xi kwa uhudhuriaji wenye mafanikio katika mkutano huo.
Rais wa China Xi Jinping akiondoka Astana na kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati mjini Astana, Kazakhstan, Juni 18, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)
Rais wa China Xi Jinping akiondoka Astana na kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati mjini Astana, Kazakhstan, Juni 18, 2025. (Xinhua/Bi Xiaoyang)
Rais wa China Xi Jinping akiondoka Astana na kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati mjini Astana, Kazakhstan, Juni 18, 2025. (Xinhua/Li Renzi)
Rais wa China Xi Jinping akiondoka Astana na kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati mjini Astana, Kazakhstan, Juni 18, 2025. (Xinhua/Bi Xiaoyang)
Rais wa China Xi Jinping akiondoka Astana na kuelekea Beijing baada ya kuhudhuria Mkutano wa pili wa Wakuu wa China na Asia ya Kati mjini Astana, Kazakhstan, Juni 18, 2025. (Xinhua/Liu Jie)
Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma