Juhudi za misaada zaendelea katika Wilaya ya Rongjiang iliyokumbwa na mafuriko mkoani Guizhou, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 30, 2025
Juhudi za misaada zaendelea katika Wilaya ya Rongjiang iliyokumbwa na mafuriko mkoani Guizhou, China
Watu wa kujitolea wakileta msaada wa dharura wa chakula katika Wilaya ya Rongjiang iliyokumbwa na mafuriko, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Juni 29, 2025. (Xinhua/Liu Xu)

Mafuriko makubwa yamerejea katika Wilaya ya Rongjiang, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, ikisababisha serikali ya mtaa ya mkoa huo ikifuata mwitikio wa dharura wa daraja la juu zaidi wa kukabiliana na mafuriko hayo, kuanzia saa 6:30 mchana juzi Jumamosi.

Tangu mafuriko hayo yaanze, wilaya hiyo ya Rongjiang, yenye idadi ya watu 385,000, imekuwa ikipokea msaada wa uokoaji wa dharura kutoka kote kwa mamlaka husika na watu wa kujitolea. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha