

Lugha Nyingine
China inayosonga mbele | Kukidhi Shauku ya Utalii wa jangwani katika Zhongwei, China
Eneo la Shapotou katika Mji wa Zhongwei, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, China linaunganishwa na Jangwa la Tengger upande wa Kaskazini, na Mto Manjano kwa upande wa Kusini, likijumuisha mandhari ya jangwa, mto, milima na oasisi.
Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Zhongwei mara kwa mara umekuwa ukijenga chapa ya utalii wa kiutamaduni jangwani, na hatua kwa hatua ukianzisha njia mpya ya "kutafuta dhahabu" jangwani kwa ubunifu. Kutoka Hoteli ya Nyota Jangwani na Safari ya Kutazama Nyota Jangwani, hadi Hoteli ya Almasi Jangwani, kupitia utoaji huduma kwa usahihi kabisa, mji huo umeweza kwa mafanikio kugeuza safari za watalii kwenda kutazama mandhari kuwa safari za utalii wa likizo za mapumziko.
Kituo cha mafunzo cha Bajiquan mkoani Hebei, China chakaribisha wanafunzi kutoka Russia
Picha: Mandhari ya mbuga katika majira ya joto mkoani Gansu, China
Bustani ya Kimataifa ya Pump Track ya Shenyang, China: Utambulisho Mpya wa Michezo Mjini
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma